Monday, April 08, 2013

AIBU TUPU:WAKUTWA WAKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI PEMBENI YA BARABARA

 
Tabia hii kwa jiji letu imekuwa ni kawaida sana watu kumalizana katika vibanda vya walinzi,katika majumba mabovu au ambayo hayajaisha ama katika magari kama Hawa wapenzi wasiokuwa na nidhamu hata kidogo walivyonaswa wakifanya ngono eneo la pembezoni mwa  barabara  huku wakiwa wameegesha gari lao  

Tukio hili lilitokea week end hii wakati wakitoka club na kuamua kumalizana hapo hapo kwenye gari: Ni aibu sana kwa tukio hili asante mdau wetu kwa kunitumia tukio hili. 

1 comment:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete