Monday, April 01, 2013

'BAADA YA ILE VIDEO YA NUSU UCHI WADAU WAMTABIRIA AGNES MASOGANGE KUCHEZA PICHA ZA X ....AWEKA PICHA INSTRAGRAM AKIWA KATIKA POZI ZA KIMAHABA NA MPENZI WAKE TAZAMA HAPA.



Licha ya mwanadada Agnes masongange  kuonekana katika video akicheza mziki huku akiwa na chupi na sidiria tu tena chupi yenyewe ikiwa imeacha sehemu kubwa ya vingo vyake vya siri mwanadada huyo ni kama hajakoma wala hakujali kilichotokea kwani kwa sasa amezuka tena na kufanya wadau watafsiri kuwa hana muda mrefu atacheza x.
Mrembo huyu ambaye anakimbiza vilivyo katika video nyingi za muziki wetu hapa bongo ameweka picha mbili zinazomuonyesha akikiss lipsi za jamaa yake na huku nyingine aki kiss bega la jamaa huyo,kuzagaa kwa picha hizo kunafanya watu wajiulize maswali mengi huku wengine wakimtabiria kuwa muda si mrefu watamuona katika picha za porn maarufu kama x.
wakizungumza na thesuperstarstz wadau wa filamu na muziki wamesema kuwa hakuna mtu anayeingilia maisha ya model huyo bali wanachowaza ni juu ya vizazi vijavyo watajifunza nini kutoka kwetu huku wengine wakisema wanachoamini Agness amekata tamaa ya maisha hivyo hana haja ya mume wala hana haja ya maisha ndio maana anafanya mambo kama mwanamke asiyejielewa Hilo ni pepo kaka yangu anatakiwa maombi huyo msimcheke mnatakiwa kumsaidia na si kumsema kwani ukiona mtu kafikia hatua hiyo ujue tiyari kasha kata tamaa ya maisha alisema mama kurwa wa kinondoni biafra.
The superstars tz imemtafuta kwa njia ya simu mwadada huyo ila hakupokea simu na tulipompigia mtu wake wa karibu ambaye hakutaka kuandikwa hapa alikiri na kusema Agi ni rafiki yangu sana na ninachoweza kukuambia yule jama ndio boy wake kwa sasa hivyo hakuna ubaya kuweka picha zile,alisema dada huyo na hapo ndipo muandishi wetu alipotaka kujua zinafaida gani kuziweka net ambapo dada huyo alijibu ni uamuzi tu wa mtu na alipoulizwa kama yeye anaweza kuweka alijibu nakusema,, we we we we unataka nichinjwe wewe yaani siwezi kufanya huo upumbavu hata siku moja katika maisha yangu hata kama nimependa vipi alisema dada huyo.

No comments:

Post a Comment