Tuesday, April 02, 2013

BONGO MOVIE  WAIFANYA HARUSI YA KUPA NA MKEWE NA  JIMMY NA MKEWE KUWA SIKU MOJA TAZAMA PICHA ZA MATUKIO

Kama kawaida ya Bongo Movie Unit umoja ni nguvu utengano ni dhaifu, jumamosi iliyopita zilifanyika harusi za kufa mtu wadogo zetu Idrisa Makupa( Kupa) na Jimmy Mafufu( Kapten) walifunga Ndoa kwa pamoja nawapa hongera sana vijana wangu maana kitendo walichokifanya ni kitendo kikubwa sana, haya vijana wengine muige huo mfano muoe ili mmtoke kwenye ukapera ilo ndio wazo la leo embu tuone mambo yalivyokuwa.....

 Dr Cheni alikuwa MC katika sherehe hiyo.

 The Greatest akiwa na Juma Chikoka(Chopa)


 Masudi Bitebo wa kushoto akiwa na mdau wa RJ COMPANY Inno Bachard.

 Shamsa Ford na Dick hawa ni wachumba tunategemea ndoa yenu soon ..

Shemeji yetu kwa Wiliam Mtitu..

 Rashid Mrutu ni kijana wangu anayejituma sana kwenye kazi huyu ni Camera Man wa Movie hapa Nchini Tanzania pia naye alikuwepo kwenye harusi za vijana wetu..

 Jack Wolper.

 Odama..

 Lamata  mwandada pekee anayefanya kazi ya uongozaji wa sinema hapa Tanzania yani Director kwa lugha ya kigeni hongera dada yangu fanya kazi hio ni siri kubwa ya mafanikio kwa vijana..

 Barafu(Rick Ross) wa bongo..

 Mariam Ismail(Omotora)

 Mery Mawigi mwanadada wa Bongo Movie Unit..

Hawa ni Madj wa Doctor Cheni walituburudisha sana kwenye harusi ya vijana wetu..

 William Mtitu akiwa na Mkewe.

 Juma Chikoka..

 The Greatest akilonga machache na ndugu yangu JB.

 Saguda Geogre..

 The Greatest akiwa na Shemeji yangu Ndikumana Mume wa Irene Uwoya na Mama Loraa


Shangwe wadau..

Picha ya pamoja..

Mauma wa kulia Mwenyekiti wa kamati ya harusi hii akiwa na Juma Chikoka msanii wa filamu Tanzania..

 Mambo yakiendelea..

Dada Devota na  Mayasa Mrisho, hawa walifanya kazi kubwa sana katika harusi hii hongereni sana madada zangu..

The Greatest na Shamsa Ford..

Ray na wadau wake  wa RJ,

 Snura mushi na Vivian..

The Greatest na Shemeji yangu Dick kwa Shamsa Ford..

 Cathy Rupia...

Odama na Rechel Saguda..

Watu wakipiga sebene la kufa mtu..

Hapa Ray akiwa na mchezaji mkubwa sana wa timu ya Yanga anaitwa Haruna Nyozima toka Rwanda..

 Mwenyekiti wa kamati ya harusi(Mauma) na Mtitu William.

Picha ya kumbukumbu..

  Ray akiteta jambo na Nyozima. mchezaji wa yanga.

 Yusuph Kisoki..

 Ulifika muda wa kuvalishana pete..


 Ndoa ni tamu jamani..

Kupa naye ulifika muda wake wa kumvisha pete Mkewe..

Hongera Kupa.

Baba mlezi wa Jimmy Mafufu..

 Mama na wanaee.

 Nisha Lady Gaga wa Bongo..

Vijana wa vibega Makomandoo walifanya shoo ya kufa mtu..

Hatari sana ilikuwa wadau  wangu ni shangwe kwenda mbele..


 Wacha weeee Saguda Goerge kwa rahaaaa zako.

 Chopa na Devota.

 Wamependeza sana maharusi wetu jamani hapa sasa wakitufungulia burudani ya muziki

Ulifika muda wa kutoa shoo kali sana toka kwa wasanii wa Bongo Movie Unit..

 Single Mtambalike mwanaume mauno babu weeee

 Juma Chikoka akifanya mambo yake..

 Steve Nyerere The Power..

Safi sana.

Wacha weeeeeeeeeee.

Irene Uwoya na Mumewe Ndikumana..

Jack Wolper akicheza na Bibi ..

Bongo Movie Unit..wakipata picha na nyionzima 


JB na mkewe wakiwa na Ray


Mambo yalikwisha na watu kutawanyika..

  Saguda kitemo na recho saguda Jamani rahaaaaa.Mtu na mchumba wake

Mainda,Mayasa Mrisho,wakiwa na Jenifa Kyaka Odama


No comments:

Post a Comment