Wednesday, April 03, 2013

BREAKING NEWS : KAWE PAWAKA MOTO NI VITA YA WANAJESHI NA RAIA KISA KINADAIWA NI KUIBIWA KWA SIMU YA MWANAJESHI NA KIBAKA KUWAWA NA WANAJESHI HAO...RAIA WACHACHAMAA Habari tulizozipata hivi sasa toka maeneo ya kawe jijini daresalamu ni kwamba Kuna fujo zinazoendelea kati ya Jeshi na Wananchi wa Kawe, chanzo kikihusisha wizi wa simu mwanahabari wetu ambae yupo eneo hilo anasema kuna raia mmoja anahusishwa na wizi wa simu ya mwanajeshi hivyo jeshi kuamshika na kumuua, habari kamili zinakujia muda si mrefu, kuwa nasi the superstars tz kwa habari za ndani na za haraka

No comments:

Post a Comment