BREAKING NEWSSS::WATU 3 WAMEFARIKI DUNIA MPAKA SASA ARUSHA BAADA YA KIFUSI KUANGUKA KWENYE MACHIMBO YA MOSHONO

WATU WA 3 WAMEFARIKI ARUSHA KWENYE MACHIMBO YA MORAM MAENEO YA MOSHONO BAADA YA KIFUSI KUANGUKA,MBUNGE WA ARUSHA AKIONGEA NA MTANDAO WETU AMETUAMBIA KWAMBA PIA KUNA GARI MBILI ZINAZOTUMIKA KUBEBEA MORAM ZIMEFUKIWA NA KIFUSI HICHO,JUHUDI ZA UOKOAJI ZINAENDELEA KWA SASA,NA INASADIKIWA KUNA WATU WENGI AMBAO BADO WAPO CHINI YA KIFUSI HICHO.ENDELEA KUWA NASI TUTAWALETEA TAARIFA ZAIDI.
No comments:
Post a Comment