Monday, April 08, 2013

DENT WA CHUO APIGA PICHA ZA NUSU UCHI ZANZIBAR


DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika visiwa vya Zanzibar.

Mwanafunzi huyo alionekana kutumia muda wa masomo kufanya mambo yake hayo, na kilichowashangaza wengi kile kitendo cha yeye kutoka DODOMA mpaka ZANZIBAR ili kutimiza haja zake katika kipindi ambacho wenzake walikuwa katika masomo.

No comments:

Post a Comment