Friday, April 19, 2013

DIAMOND AFANANISHWA NA MWANAUME MSHAMBA, LIMBUKENI NA ALIYEKURUPUKIA MAPENZI UKUBWANIKAMA USHAMBA NI SOMO BASI MFANO NI HUU HAPA!!!.

USHAMBA. Binafsi namshabikia sana huyu Msanii but I cant take it anymore!, Awali ya yote tuelewe kwamba kumdhalilisha mwanamke yeyote na kwa namna yoyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako mzazi!,

Mambo ya kuanza kurekodiana kwenye maongezi yaliyo private na kuyasambaza binafsi naona ni kuvuka mipaka na Ushamba uliopitiliza,

DIAMOND unaimba nyimbo nzuri za mapenzi lakini sasa una-prove Ushamba juu ya Mapenzi yenyewe,kifupi hakuna mtu anayekulazimisha uwe na mrembo gani kimapenzi kwani wewe ni mtu mzima maliza wanawake wote duniani ikiwezekana tembea mpaka na Mamba wa kwenye Mabwawa,hiyo ni hiari yako, ila unapopeleka hewani sauti ya maongezi private na wema aidha kwa kutafuta kuongeza umaarufu,this is rubbish!!!,

Kwa haraka haraka ukimsoma diamond unagundua kuwa ni wale wanaume ambao hawakuwahi kubahatika kupendwa na wanawake wazuri,sasa wanapokuja kushika pesa au umaarufu ndio inakuwa siraha yao ku prove kwenye jamii kwamba hata nao wanaweza.

Yaani Diamond kushobokewa na madem wazuri kwake ni kama ngekewa ndiomaana anaingia kichwa kichwa.

PENNY usisahau kwamba huyu wema alikuwa rafiki yako na ukamchukulia Bwana,tena bwana mwenyewe ni huyu mtoto wa kiswazi ambaye Mapenzi yanampeleka puta!,anayedhihirisha ulimbukeni wake kwenye jamii.
 
Leo kwa ushirikiano wako na Diamond umemuanika msichana mwenzako kumdhalilisha,ok tia maji kichwa chako hii ni Bongo soon utanyolewa na tutaandika hapa hapa.

WEMA, Sasa ukae chini ujifunze kwamba mitoto ya Kiswazi mingi milimbukeni,wewe ni binadamu na hujakamilika basi jaribu kujikamilisha kwa kupunguza makosa,sina maana ya kwamba nakutetea wewe bali binafsi sipendezwi na KUDHALILISHWA KWA MWANAMKE YEYOTE!

KIOO CHA JAMII :
Hapa hakuna kioo,ni heri kuzamisha sura kwenye tundu la choo ukiamini kwamba utaiona taswira yako kuliko kuwapa dhamana wasanii malimbukeni. 
Credit: Sheria ni Msumeno

15 comments:

 1. Wewe uliyeandika ujumbe ningekuwa na pesa ningekupa ukatumie this w/end kama pongezi tuuu; yaan me Diamond sikupendi tangu awali, sina chuki na wewe ila sijatokea tu kuvutiwa na wewe kama msanii..... halafu nampenda na namkubali Wema vibaya mnooooo; sasa unapomuingilia Wema kwenye anga zake ndio unazidi kunikera, yaan UNANIBOA, NAKUDHARAU MNOOOO; khaaa? Limbukeni mkubwa sana, sijui una miaka 12 wewe? Aaaah??! Wema achana na mwendawazimu huyo, hajiujui wala hajielewi; hajawahi kupendwa, umemuonjesha basi domo halifungi, anabwabwaja kama kalamba pilipili

  ReplyDelete
 2. diamond daily walia na wanawake,2lia ujipange kiu2 uzima..upate mtoto mzuri tabia kilak2...kila siku kulia na wema sepetu ni utoto...
  EREVUKA.

  ReplyDelete
 3. hilo li Dimond ni libwege sana mshamba, anaona ufuksa ndo dili atamamaliza sketi zote mwishowe na yeye ataolewa. Silipendi namchukia ka kifo. Wema piga moyo konde achana na hlo bwege la tandale juzi tu lilikua li mbulula na domo lake ka chupi.. Leo hii ndo anajiona wa mjini. Lione na domo lake.

  ReplyDelete
 4. hilo li diamond lina sura mbaya mdomo kama beseni...malaya mkubwa..kafupi kama ufutio wa pencil..halafu kamekomaaa kweli...limbukeni wa mapenzi..na atakuwa kafoji wala sio wema aliempigia anataka kumtia doa tu wema coz we love her sooooo much..penny u r so cheap...snitcher...

  ReplyDelete
 5. Hao ndo watoto wa kigoma wengi wao wanakuwa ni wapuuzi
  hawana chakufanya cha msingi zaidi ya ulimbukeni nyi mwacheni atakuja kujuta baadae kila chenye mwanzo kina mwisho wema utabaki kuwa wema miaka mia we ni mzuri ata iweje mungu kakutunukia unapendeza

  ReplyDelete
 6. Wema hauozi,diamond ukipata hufa,na kusha thamani,peni ikisha wino haifanyikaziiii.wazo la wikii

  ReplyDelete
 7. nyie hamyajui maisha yake kwa undani ndo mana mnang'ang'ania ulimbukeni achen ufalaaa

  ReplyDelete
 8. waaaapi... diamond bwege tu... tena apite vizuri maana nitamrushia chupa akipita mbele yangu... mwanaume gani anatabia za ajabu hivyo...? sasa downfall yake ikija hatamuona huyo penny... hajajiuliza huyo penny alikua wapi wakati wote aje kujitokeza alipokua na mafanikio mengi...? wema amekua nae mpaka akamkubali wakati alikua underground na kukaa nae mpaka kawa big star now anajiona kafika sio...? hata wasanii kama mr.nice waliibuka sana mwishowe mpaka leo yupo tu, sasa na diamond asubiri maana downfall yake its coming soooo soon...

  I CANT WAIT DOWNFALL YA DIAMOND..

  ReplyDelete
 9. what goes oround thuts what comes around,life is unformula

  ReplyDelete
 10. Huyo PENN mwenyewe sidhani kama anamapenzi ya dhat kwa huyo D mtu hana hata wivu nae hana!anaambiwa jana jamaa kafumwa akiwa dem mwingine hata hashtuki,huyo kuna kinachomsumbua na hizo shilingi bwana D hamna kingine subiri tuwaangalie mnaishia wapi tutayasoma hapahapa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. TATIZO LA NDUGU YETU DIAMOND KINACHO MSUMBUA NI USHAMBA WA MAISHA, INAVYOONEKANA KATOKEA KATIKA FAMILIA DUNI SAAAAANA, NDIYO MAANA KILA ANACHO FANYA ANAKIKURUPUKIA KATOKEA KUWA MKALI WA NGONO KULIKO WASANII WOTE NCHINI SIKU INAKUJA ATABAKI KWENYE YEBOYEBO KAMA KANUSURIKA KWENYE MOTO, KAMA ISHU ZETU ZINGEKUWA ZA KUCHONGA KAMA PENSELI, ISHU YA NDUGU YETU DIAMOND INGEKUWA IMEBAKI KIPISI, CHA MSINGI NI KUMUOMBEA TU HUYU NDUGU YETU ILI PEPO LA NGONO LIMTOKE, WAZURI HAWISHI, WAPO TU NA KUNAWENGINE WANAZALIWA HII LEO NA WENGINE KESHO NAKUENDELEA HAWATAKUWA NA MWISHO. (DIAMOND jirekebishe kijana utakufa kabla ya siku zako dunia hii imeharibika acha ufedhuli vizuri havina mwisho)

   Delete
 11. Nampenda sana Wema jamani, yaani nilivyosikia likirusha hayo maongezi kwenye Radio nilitamani nipige simu nimtukane, yaani Diamond ni mshamba sana jamani, huyo Penny asijidai maana pia yeye ni mwanamke asishabikie Wema kutendwa hivyo. Acha ushamba Diamond umaarufu mzigo

  ReplyDelete
 12. Acha ushamba diamond uo wote ni ulimbuken wa mapenzi na kupendwa na watoto wa zuri na uyo penny hana lolote ngoja akufilic af apotee ndo utakapo mkumbuka tena wema ambaye umesota nae.iv we penny kama uyo Diamondi kamfanyia ivyo mwenzio hashindwi kukufanyia na wewe..mwenzio akinyolewa tia zako maji......nakupenda wema my sister wa ukwel akuna zaidi yako

  ReplyDelete
 13. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete