Tuesday, April 16, 2013

DIAMOND AMTOSA WEMA SEPETU MBELE YA PENNY,AMPA PENNY SIMU UNAJUA ALICHO KISEMA SIKILIZA HAPA.





Clip iliyosambaa inayomuhusisha Wema Diamond na Penny imefika ndani ya blog yako, clip ambayo inaonekana kurecodiwa kwa maksudi na Diamond pale alipopigiwa simu na Wema Sepetu jana usiku. Inasemekana Wema alimpigia simu Diamond usiku,lakini baada ya Diamond kupokea alimtaka kuacha drama na kumsisitizia kuwa sasa hivi anampenda Penny.

maongezi yako hivi

Diamond: mi sikufanyii drama na wala sitaki drama yoyote, am inlove with penny we unajua hilo right?
Wema: yeah your inlove with penny and i i ...

Diamond: sipendi kwasababu sipendezewi kwasababu mwisho wa siku itakuja kutuletea matatizo drama, nakujua kitu kidogo hukawi kukifanya kikubwa mji mzima na nini na nini sitaki.

Penny: hallo, which one is this? hallo hallo
Wema: mmmh
Penny: hallo
Wema: mh
Penny: we want to sleep mamy
Wema: heey my angle poa
Penny: baby wacha tulale ya?
Wema: mmh
Penny: wacha sisi tulale
Wema: uko poa
Penny: niko poa mamy yangu, can you let us sleep now mmh, si hatutaki matatizo na wewe we usitake matatizo na sisi, lets just live one happy life

Wema: he told you am the one who is troubling him

Penny: yeah but you are always trying to cause trouble wema, your always trying to cause trouble, when did you want something peaceful,when? i mean when he said look here, when he said, he is in love with me, i dont know, for some reasons i expected you to respect that, because all you have done is to bring us trouble, seriously, and all this things you do, they tell us kwamba wewe ndio unafanya, so lets just see......you sleep, us guys sleep, and act like this comversation never even happened, good night, good night, wema , wema (kimya)
Diamond: nadhani dishi wenyewe mmelisikia, haina haja ya kuongea sana, mmewasikiliza, tulikuwa niko mimi halima kimwana, na mke wangu hapa, mimi ndio nimepigiwa simu na wema nabembelezwa, bahati mbaya kakuta nambaya, pia nikampa baby aongee nae, kumjulisha jinsi gani niko inlove, asanteni sana nilikua narecord mi mwandishi wako Nasib Abdul Juma, nashkuru sana  sana



baada ya clip hiyo kuskika Sudy Brown alimpigia wema na kuongea nae juu ya hil..

Wema: Mi sijaongea na mtu jana, like us in aaah nimee no as in nimeambia halafu sikujua kama iko iko this big, kama wananichokoa wapate kiki, kwasababu wanaona kama hawana kiki then thats something else unajua eeh, kiki  watafute sehem nyingine sio kwa wema sepetu, sawa mi ninajijuwa me am a star, am a star like all over tanazania hakuna star kama mimi sawa eeh, kwahiyo kama wanaona kama wanaweza kupata kiki kwa kutokana mimi kama star because they are looking for names, thats fucked up owkey. Sudy mi nakuheshimu sana wewe na nnajiheshimu sana na mimi mwenye...........
sitaki kuanza kuchokonolewa kuanza kutengenezewa sijui vitugani, mi nimeskia tu kupitia bbm sijui  nimekaa tu kimya, am just quite na sijafanya kitu chochote am just quite, and am just going to stay quite, na usingenipigia simu mi ningeendelea kukaa kimya.
Sudy: skia bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda, wewe
kumtamani?
Siwezi
kwanini?
hasa wa kazi gani mi nishadili na Diamond and its done, haikuwa rizki kila mtu ameenda na mambo yake, am very very happy where iam......

Diamond nae alivutiwa waya, chezea Sudy wewe
ile clip ilikuwa jana, jana kanipigia simu usiku naona simu yangu inaita aaah najiuliza nani, napokea aah akawa anibembeleza nini na nini yeah, mi nikamwambia wema mi nina mahusiano yangu sasa hivi..........uzuri nilikuwepo na baby pale pale, ili kesho na kesho kutwa asije kukataa, nilimrikodi mwanzi mwisho......

Sudy: Wema anasema we utakuwa unatafuta kiki
Diamond: mimi? mi nayeye nani anatafuta kiki, yeye si ndio kanipigia simu, ye ndo atakua anatafuta kiki ya kutaka kurudiana na mimi, kanipigia simu jana usiku akinibembeleza kurudiana na mimi ndio maana nikampa simu mke wangu nkamwambia ongea nae........

52 comments:

 1. ukikalia kiti cha daladala ujue kuna mwenzio kashuka na ww utashuka atakaa mwingine,hata kama ni cha dereva km sio lake ipo siku atashushwa atawekwa mwingine.....alie kalia aombe Mungu sana na waache kuchafuliana majina, hayo ni majaribu tu ya shetani na wasimpe nafasi ya kushinda!!!!

  ReplyDelete
 2. thats sooo childish Diaomond!! O.M.G!Lets say Wema kakwita sindiyo?/ Lakini why did you have to record her?? Yani kama vile ushahidi? That's to high school man you need to grow up from that. ata kama unge mricordi basi unge keep it private! Smh!

  Kaddy

  ReplyDelete
 3. That's f..bull..diamond ur so stupid why would u do that so what if she call just talk to her and explain you didn't have yo be such a dush ..ppl go through break up so fucking what!!!

  ReplyDelete
 4. Uyo dimond msenge tena kuma sana kwanza anaonekana mshamba wa madem ndio mana ameamua kufanya hivyo . Hata km wema amepiga kweli cm so yeye ana maana gani kutangaza km sio kutafuta kiki ?

  ReplyDelete
 5. Ts bull shit. I culdnt blv Diamond ua dis stupid, u culd ve kip it 4 yu 3 guyz only coz 4us it means nothn atoll..... u prove 2mi dat u aint gentleman.

  ReplyDelete
 6. yani from today nimekushusha daraja diamond..... gosh" kama amekupigia simu ilikua umjibu kua unamtu basi but sio mpaka kumrekodi... so childish! kumbuka ulikua unaimba kawaida tu baada ya kua na wema ndo ukapata jina saivi unanyooooooooooodo.. umesahau ulipotoka enh?.... diamond your from trash usisahau ulipotoka.

  ReplyDelete
 7. BUSARA UPEO MKUBWA WA KUFIKIRI NA KUPAMBANUA MAMBO LAZIMA UTUMIKE KWA WASANII WETU WA HAPA NCHINI

  ReplyDelete
 8. ....Ur still kiddo bro!!!....u need to grow up kidogo....

  ReplyDelete
 9. Drama never ends with soo who calk themselves stars....fuck the bullshit...kama ni ma stars they arr supposed to be yhe rolemodels in our sociaties not this damnt!......hakuna star hapo....waige mifano ya kina lady jaydee na profesa jay...huyo wema na diamond both arr bunch of spoilt stupid kids....fuck yhem all

  ReplyDelete
 10. diamond.....seriously???? like you doing ths shit! wema you are so beautiful and pretty and you can get any man you want tena more than em...mshamba huyo achana nae kwanza hana bahati ya kuwahi kuwa na mtu kama wewe. let me ask you smthng diamond hvi kipindi kile ndo unaanza mziki unafikiri huyo penny angekupenda?? but wema kakupenda tokea huna kitu tena ukute yeye ndo alikuwa hanakuonga ila sasa hv unajiona una hela na ndo maana hata huyo penny anakupenda....grow up diamond! wema do ua thing mpotezeee huyo tafuta mshiko hatakufata mwenyewe!

  ReplyDelete
 11. hili ndo tatizo la kudate na serengeti boys..aaaargggh what a boom????!!!

  ReplyDelete
 12. Natamani Wema angenipigia mimi simu ah, sidhani kama Diamond kamtendea haki binti huyu hata kama ana madhaifu yake... ni ya kibinadanu na anapaswa kuchukuliwa hivyo yalivyo.... dah Wema nipigie mie nimfundishe Diamond how to handle a beatful gal like Wema

  ReplyDelete
 13. Mi nadhani katika wote peni ndo mpumbavu wa kwanza kabisa. Kama Wema kafanyiwa hivyo na yeye asubiri turn yake in just a minute stupid bitch anadhani kuzaa ndo nini???? Hata mbwa na paka wanazaa

  ReplyDelete
 14. makubwa kasahau wats goes around comes around.....so stupid diamond

  ReplyDelete
 15. Wema kaza buti uko juu huwezi kujilinganisha na Penny wala Diomond,hawakupati hata kidogo wanatafuta kiki tu kwako,Diomond anapotezea skendo la kudate na mke wa mtu,Penny kama unaweza kumtuliza Diomond kwann alienda kudate na mke wa mtu Irene Uwoya?muosha nae huoshwa subiri lakwako Penny linakuja muulize Jokate!Wema Hata wakuchafue vipi wewe ni star I LOVE U WEMA.

  ReplyDelete
 16. madhara ya ukosefu wa shule kichwani seriously na uyo demu wake kaishia la ngapi?
  mwanamke mwenye akili timamu huwezi kubali mwenzio akafanyiwa mambo ya kijinga ivyo unless you feel insecured with herself anajiona inferior or guilty. naamini wanaume hasa diamond willnever change too bad for penny akija stuka naye kapigwa skendo yake usifurai mwenzio akidhalilishwa mana ukija stuka ur next

  ReplyDelete
 17. Stupid Diamond......!!!!! Stupid Penny!!!! nadhani ni zaidi ya ushamba mlichofanya. Kwani kuachana na mtu ni lazima mdhalilishane?? diamond u r a looser as i know u r too closer to loose than u have ever lost. Penny ndo zaidi u a nothing but a b**ch! kutembelea nyota ya mwenzako lol!!! mwanamke gani kujipendekeza kama rafiki kumbe wamtamani bf wa mwenzako... nawe ungetafuta wako na kumshape the way u like him to be, but kupamiapamia wanaume wa wenzako iko siku utaumbuka. actually ushaumbuka to what i c u have no longer time with Diamond, mtoto wa tandale haachi utandale hata awe exposed namna gani, he will turn u a looser as well....watchout habari ndo iyo.....

  ReplyDelete
 18. What goes around comes around.So alwys be keen on what you do to others coz it wl come to haunt you.

  ReplyDelete
 19. diamond ni bonge la mshambaaaaaaaaaa na inaelekea malezi ni mabov pia hajui mapenz maana hata kama kweli wema alimkol xo ishu kurecord hadi kuweka kwa media....aache ushamba .....

  ReplyDelete
 20. bitch move! its a shame Diamond. Matter of fact hamna ushahidi uliosema Wema anataka kurudiana na wewe.. Dah! But still...Grow up Diamond.. mambo hayo yamepitwa na wakati..

  ReplyDelete
 21. diamond umeboooooooooa, wema u wil always be tha best temana nae he z not worth having

  ReplyDelete
 22. Huna jipya diamond we shaaamba sana na safari zote za marekani haujajifunza kitu?? Unawadhalilisha wanaume wenzako, acha ulimbukeni kua. Kua nakifua kifua kikubwa sio deal ila ubongo muhimu sana. nenda zako huko bora watu wa kawaida kuliko star njinga kama wewe. USHUZI MTUPU.GO TO HELL AND MARRY PUSSY CAT.

  ReplyDelete
 23. platnumz hauko sawa kwa hili,acha kutengeneza bifu,actually km wema kakupigia cm co lazima kumrekodi na kumweka kwenye media

  ReplyDelete
 24. aiseeee kumbe sio wa kutoka shamba tu ndo washamba hata mjin tunao halafu unajiita star peny nakuonea huruma xana dimond nimekutoa maana mlaumu aliyekushaur wema kakupandisha daraja hata ukibisha

  ReplyDelete
 25. dimond umechemka umedhihirisha ushamba wako agatha gabriel

  ReplyDelete
 26. Ata kama kapiga simu si ndo kazi ya simu. Wema ebu delete number ya uyo kijana' ur so cute wema for that kijana. Penzi lake liweke chooni na uliflash times billion. Wewe ni beauty girl also 99% ya watu tunaokujua duniani we love ya so so much compare to huyo kijamaa dimond anayependwa na wengi bongo ,lakini not anymore since ameleta story ya uongo ili amchafua wema. Lakini ameshindwa na ataendelea kushindwa kwa jina la mungu. Wema upo juu girl u deserve better guy than uyo kijana someone who can treat u as queen. Enjoy life wema ur number one bongo star na tunakupenda sana.xxxx my sis wema.

  ReplyDelete
 27. Diamond, u ah behave like bludclat bwoy!

  ReplyDelete
 28. ACHA USHAMBA DIAMOND, TATIZO NI MASHIKOLO MAGENI KWAKO, HUKO TANDALE HAYAKUWEKO. INAVYOELEKEA UMETOKEA KWENYE FAMILIA DUNI SAAAAANA

  ReplyDelete
 29. very mshamba jamaa huyu yaani mshamba kweli kaenda mpaka ulaya bado habadiliki? mbona hukurecodi wakati upo na uwoya chumbani....ovyooooooooooooooooooo

  ReplyDelete
 30. Jamani huyo Diamond ni mshamba hasa kwaqnza mambo anayofanya hayanishangazi maana ametokea uswazi mashenzini kule mbavu za mbwa haswaaa!! na huyo mwanamke wake Peny ndio mshamba kuliko mwanaume sasa hapo mnatarajia nini kama sio vituko vya uswahilini?anawashwa huyo si aseme tu!! wewe Penny unafikiri una muda mrefu na huyo kidudumtu?subiri yako yafike utafanyiwa mchana kweupeeee na umalaya wako ndo utajua. Wema mdogo wangu kwanza huyo mvulana sio type yako hata kidogo sema mapenzi hayachagui, wewe ni mzuri sana wema na nakujua ni mtu wa sala achana na hao wachawi wanaowanga mchana!! maana naamini Diamond alifanya hivyo coz alikuwa hajaandikwa magazetini siku nyingi so akatafuta kik ili jina litajwe tena, Diamond masononeko ya mtu zaidi ya mmoja ni laana kubwa kushinda ya wazazi wako. Nakuambia utakufa mdomo wazi wewe Diamondo na wewe hujapata mtu wa kukukomesha subiri dawa yako iko jikoni atakuja mtu atakuonyesha watu wanavyoishi. Msamba sana wewe na huyo unaemuita mke!!!mke bongo hujijui tu kama unashare wewe!!!!!

  ReplyDelete
 31. i like it diamond na peny nae akizingua hivyo hivyo ndo dawa yao

  ReplyDelete
  Replies
  1. Yaaaani sikutegemea kama nawewe mshamba square. Wema mpenzi usijali huyu naye ni wa kulekule uswahilini anadondea pesa hana lolote ukweli anao moyon kwamba wewe ndio namba moja Tanzania.

   Delete
 32. ufala mtupu huo

  ReplyDelete
 33. diamond hajatumia busara kumuanika wema kiasi hicho, na ukizingatia alimpa penny simu aongee na wema wangemalizana kimya kimya. wema ni binadamu ana mapungufu yake, hata kama alipiga simu ya diamond kwa lengo la kumbembeleza haikuwa lazima maongezi yake yawekwe hadharani kama hivi. usijifanye mkamilifu diamond. kila binadamu ni dhaifu, na wala usitumie udhaifu wa wema kumuangamizia. think about it

  ReplyDelete
 34. Jamani Watu wenye kutambua LAZIMA muangalie AKILI ya DIAMOND na WEMA i mean uwezo katika kufikiri na kupambanua mambo Mungu siyo mwanadamu na hafanyi kazi kama mwanadamu HAWAENDANI hata kama ni UPENDO hawatawezana wanapishana from "INNER".

  Penny na Diamond wako sawa kwa mambo mengi wanaendana tu. KWA HIYO WEMA atabakia kuwa BORA kwa wenye upeo wa KUFIKIRI na KUPAMBANUA MAMBO na huyo DIAMOND ataendelea kuwa KINARA wa wasio na uwezo huo alionao WEMA. Tumshauri hata pesa anazopata ifike mahali AENDE AKAJIENDELEZE KICHWANI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Haswaaaaaaaaaaaaaaa yaani hapo umenena rafiki

   Delete
 35. Naamua kuweka wazi KERO yangu.
  Jamani huyo Penny mm nimeshatomba sana tu nikachoka. kama ni uongo Diamond ajitokeze abishe kama Penny hana doa jeusi kwenye paja lake la kushoto karibu kabisa na jikuma lake, doa lenyewe lina ukubwa wa kama ile coin ya sh 50.
  na wewe diamond When you were born something terrible happened, you lived.
  fuck yo modafaka, yaani kuma la mamaaako unayeaibisha watoto wazuri kama WEMA the STAR.

  nimemaliza

  ReplyDelete
 36. I think kama daimond ujafanya poa vile wema alikuwa demu wako hunahaja yakumzalilisha mwanamke ulishamvulia nguo sio poa wala ni ushamba nauelewa tu nanimwisho wa akili yako naw penny hitakiw kujisifu cause wanaume wanabadilika kam kinyongo huwezi amin akikubadilikia utahis dreams

  ReplyDelete
 37. wema between 2rue lover girls ur among umenipata? tatzo wanaume we dnt know ur STAR,thats y unakuwa na conflict ktk love yako most time,coz of many thngs ikiwamo mapaparaz,Diamond kabugi hata km ulimpigia he should to put it secretly coz may be ulkumbka samthng,u waz in love,its normaly 2 every body,mpotezee mama we mkali fanya yako,huyu wajina wng lakn hez fuckin guy!

  ReplyDelete
 38. Daimondi bado hajakuwa na mimi naamin wakumuuoa daimond bado hajakuwa,na wewe mdogo wangu penyi duh hata sijui nisemeje nilikuhesh sana tangu unachpukia kwenye tasnia ya utangazaji the way ulivo muonekano,kuongea ni mtu furani hiv nikajua unakuja kuwa mtu muhm sana sasa nawe umetumbukuia huko duh pole sana huyo jamaa ni mfanyabiashara anatafuta pesa usidhani umefika utatumika kimatangazo ukichoka kwenu,kama una sikia sauti hiii ya uchungu kimbia mama utaharibu future yako,achana na huyo mtoto bado hajakuwa huyoo shauliyako

  ReplyDelete
 39. Mh yaaan we Diamondi Ni mwanaume suruali tu huna haiba ya kuwa mume wa mtu utaishia hapohapo na mwisho wa siku utarudi kwenu Mbagala kwenye nyumba mbele jalala jifunze kuwa mstaarabu na wewe Penny usijishaue unapenda tu hela inaonekana ndo tabia yako sasa kumbuka haya ni maisha tu jione ulivyo mbaya utamtikisa Wema wewe cute baby wa Tz we kajamba nani unanini wewe. Wemaaaaaaa big hiiii endelea kukaa kimya uwakomeshe washamba hao wanataka umaarufu kupitia wewe uliompa Diamondi unatosha we are together don mind dear nakupendajeeeeeeeeeeeeeeee


  ReplyDelete
 40. yani ukiwa maarufu haimaanishi kuwa unajua kila kitu ..huu ni utoto mbele ya umma...fool diamond and fool penny

  ReplyDelete
 41. DIAMOND umeanza kuzingua mambo mengine si lazima kuyaweka mtandaon bwana inakuwa kama kweli unataka kiki kama alivyosema cster pale

  ReplyDelete
 42. Jamaa michosho kesha anza kuishiwa..!

  ReplyDelete
 43. Wema ww mkali unatisha..!

  ReplyDelete
 44. hizo statement hapo hamna inayoonesha diamond kubembelezwa,huyo kajipotezea muda tu kupost humu,af huyo diamond ht angekuja kwangu na kontena la pesa simkubali mbayaaaaaaaaaaa,mshambaaaaaaaaaaaaa hana mbele wl nyuma pesa kitu gn bn km mtu mpuuz tu?pesa bila akili c umbuzi tu huo?

  ReplyDelete
 45. mmesahau kuwa Mastar wa bongo ili watoke lazima wawe na viroja pia kutaka umaarufu sana bila kuufanyia kazi tafuteni hela acheni ujinga mbona ma juu wako poa wanavituko lakini umeona maendeleo yao wako juu

  ReplyDelete
 46. That was below the belt, in the entire conversation there is no proof of Wema asking you to get back with her. this is a cheap publicity stunt and very tasteless. So what if she called you it's not the world business to know, and you Penny you must be the dumbest woman, on the same seat that you seat now Wema once did before you and soon some other woman will dethrone you and he will rub it on your face. Diamond you need to grow up if you were some high school kid i would have cut you some slack but you are not. Like we say in Kenya you are such a shagmodoz not even your flashy clothes can hide that. Grow up and stop being a little bitch!

  ReplyDelete
 47. to know the good is to do the good.Seriously Diamond you need to grow up.

  ReplyDelete
 48. pesa za ukubwani na shule kidogo ndo tatizo go to hell d

  ReplyDelete
 49. Mnamlaumu bure Diamond, iyo nikuonesha kuwa bado anampenda Wema. Ila anajikaza kisabuni tu.

  ReplyDelete