Saturday, April 20, 2013

"HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON"......MANGE KIMAMBI

Baada ya Diamond kusambaza clip ambayo inasikika Wema Akiongea nae ambayo Diamond Amesema kuwa Wema Alikuwa anajitongozesha...Mange Kimambi Ametoa Wito kwa wanawake wote walioko London Kutokwenda show ya Diamond akienda kufanya Show huko kwa vile alimzalilisha mwanamke mwanzao....


"Alafu bado utaona kunamijanamke huko London itavaa kabisa nguo na kujipaka ma makeup kwenye kumkatia Diamond viuno kwenye show... Ladies lets stand together...
tutadhalilishwa mpaka lini na hawa watu.....Embu tuonyeshe mfano hapa......HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON..
 
ATAKAE KWENDA NTUMIENI PICHA YAKE HUMU TUMJUE.......ILA GUYS Seriously huyu jamaa kavuka mipaka tumfanye mfano kwa wenzie" Mange Kimambi

4 comments:

 1. Wewe mange who are acha kuwaburuza watu kila mtu na chaguo lake

  ReplyDelete
 2. I mean who are you mind your business

  ReplyDelete
 3. Mwachieni mungu ajaji na aonyeshe maajabu yake. Kumbuka kusamehe mara sabini. Kweli kimeniume cos I care for wema.

  ReplyDelete
 4. Mange mbona anadhalilisha watu Kwenye blog yake ????

  ReplyDelete