Friday, April 12, 2013

HAWA NDIO WALIKUA WAGENI KUTOKA GHANA KTK KUMBUKUMBU YA STEVEN KANUMBA

Siku ya tarehe 5 Aprili 2013 wageni watatu kutoka Ghana waliokuja maalumu kabisa kwa shughuli ya siku ya kumbukumbu ya Steven Kanumba iliofanyika tarehe 7 Aprili mwaka huu. Wageni hao ni Ama K Abebrese, Nana Ama McBrown pamoja na aliekuwa International Manager wa Steven Kanumba Prince Richard Nwaobi-E.
 Ama K Abebrese and Nana Ama McBrown
Nana Ama McBrown na Ama K wakiwasili JNIA


Ama K akiwa na The Great enzi za uhai wake akiwa Ghana

Hapo chini ni tweets za Ama K akisifia Tanzania
 
 

Ama K Abebrese and Nana Ama McBrown1
Mwenye Dress nyekundu ni Comedian/Tv personality Nana Ama McBrown


Ama K Abebrese


No comments:

Post a Comment