Monday, April 08, 2013


HII NI BALAA: BINTI AANIKA UTUPU WAKE WAKATI AKICHEZA POOL TABLE
Sakata la aina yake lilitokea siku ya jumamosi katika mitaa ya mtoni mtongani ambapo Binti mmoja alinaswa na kamera yetu akiwa uchi wakati akicheza pool table .binti huyo ambaye ni maarafu kwenye mchezo huo alikuwa amevaa nguo fupi(kimini) siku hiyo ilipangwa mechi kali kati ya kijana mmoja na binti huyo. wakati binti huyo akicheza pool table bila wasiwasi alizua balaa baada ya vijana hao kugundua kwamba hajavaa nguo ya ndani. vijana walianza kumzomea na kumghasi, hatimaye hakumaliza mchezo huo . Binti huyo aliondoka na kwenda mtaani kuchukua wavuta bangi, walikuja kufanya fujo. Walifanya fujo kilichotokea ni hiki! "binti alivuliwa nguo na kuachwa uchi wa mnyama" .
vitendo kama hivi vinalaaniwa na vinapotosha jamii yetu , vijana tunapaswa kuwa makini na mavazi tunayovaa.

No comments:

Post a Comment