Thursday, April 18, 2013

HIKI ndo KITANDA na CHUMBA ANACHOTUMIA IKULU MTOTO WA RAIS MPYA WA KENYA UHURU KENYATA.PICHA KASAMBAZA MWENYEWE KATIKA MITANDAO

13 comments:

 1. KWA RAHA ZAKO!!!

  ReplyDelete
 2. Mmmh!! haya binti wa RAis, hongera sana!!

  ReplyDelete
 3. mbona pa kawaida!!!!

  ReplyDelete
 4. kwa pesa ya kenyatta naona hiki chumba cha kawaida sana..ukiacha tu urais kenyata anashika nafasi ya 26 katika matajiri wa afrika,so huyo bint ana deserve hilo geto

  ReplyDelete
 5. Wanaona gere kwa kuwa hawana kitanda kama hicho, vya kwao ni teremka tukaze jinome mototo wa Rais wakati ni huu. Yeye hataki kufuja mali ya Wakenya

  ReplyDelete
 6. jiachie mwaya, si kosa kupata raha ukipata nafasi!

  ReplyDelete
 7. sio issue kwa mtoto wa kinyata, cha kawaida sana, ila kwetu sisi wa Machakosi, ndo twaona deal

  ReplyDelete
 8. wakiondoka watakiacha maana hao ni wapangaji tu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hujaolewa tu tulete posa sisi

   Delete
 9. mbona pa kawaida sana jamani

  ReplyDelete