Monday, April 22, 2013

HUYU NDIYO LULU MICHAEL NA PENNY KATIKA MUONEKANO WAO MPYA19 comments:

 1. Ata c warembo vileee

  ReplyDelete
 2. WamependeZa sana

  ReplyDelete
 3. Mtoto lulu bomba umeumbika mashallah! Mungu atakulinda na wabaya na mumependeza wote nice pose! Take care.

  ReplyDelete
 4. Almasi atamuachia kweli huyo mtoto, yetu macho!! Penny umekalia kuti kavu n'time litaanguka.

  ReplyDelete
 5. Hee pendeza sana Lulu!!

  ReplyDelete
 6. Looking good mumies...watu wafunge midomo kha apa tunaangalia looks sio mahusiano ebo.Lulu,Penny the look is smashing.

  ReplyDelete
 7. lulu umekuwa mkubwa xana mpaka raha yaan naona upo na mama kijacho

  ReplyDelete
 8. Lulu mkali bana

  ReplyDelete
 9. nice picture jamani ukweli mmependeza Lulu mdogo wangu umekuwa sasa look niceeeee!!!

  ReplyDelete
 10. ukahaba tu hio

  ReplyDelete
 11. Lulu makeup zitakufanya uonekane mzee baadae punguza.

  ReplyDelete
 12. Lulu mdogowangu hongera kwa kuwa uraiani nakupenda sana but be care Almass anatisha mtaani atakuibukia kichawi sasa hivi hajali ushosti wako na Penny

  ReplyDelete
 13. Acheni usenge nyie

  ReplyDelete
 14. lulu mkareeee sana jamani she is second to none! just like wema wa sepetu

  ReplyDelete
 15. Ni mapacha mbona wana <3 na sana

  ReplyDelete
 16. Mmmh...Ntajitoa uvivu siku moja niwaone warembo wa Dar. Wanauaaaa! huku Kenya, mkmmh...sioni!!

  ReplyDelete