Tuesday, April 30, 2013

HUYU NDO BABA MZAZI WA WEMA SEPETU, MCHEKI HAPALeo hii kupitia mtandao wa Instagram, wema alitupia picha akiwa baba yake mzazi, mzee Sepetu, huku pembeni akiwepo mtu wake wa karibu sana "Pettiman. Nimeona ni vizuri kushare na wewe, kwasababu nilikuwa sijawahi kabisa kumuona sehem yoyote

No comments:

Post a Comment