Monday, April 22, 2013

LADY JAYDEE AWACHANA TENA CLOUDS.....ANADAI KWAMBA MUNGU SI "RUGE" WALA "KUSAGA"

Baada ya kipindi kirefu cha kuongea kwa mafumbo dhidi ya wamiliki wa Clouds FM kuwanyonya wanamuziki akianzia na wimbo wake wa Joto Hasira, mwanamuziki Judith Wambura ameendelea kuishambulia redio hiyo na leo Jumapili ameamua kufunguka kwa kuwachana  live  wamiliki wa redio hiyo.
Hii  ni  post  yake  aliyoipost   twitter:

Lady JayDee ‏@JideJaydee 1h
 
Naamini kabisa kuwa Mungu sio Ruge wala Kusaga. Atanisimamia kwenye hili #Confidence

9 comments:

 1. Wala hajakosea coz hao wakina ruge na joseph kusaga wanajiona wao ndio kila kitu ila jidee komando namkubali kwa kila kitu!!!!! Japo kuwa ukweli utawauma ila la moyoni amesha litoa big up comando machozi

  ReplyDelete
 2. Mantain th spirit commando jide

  ReplyDelete
 3. Mungu atakusimamia

  ReplyDelete
 4. upo sawa kabisa lady jay dee

  ReplyDelete
 5. I am ur number one fan and I am team Jay Dee forever, love u gal, God b with u hny

  ReplyDelete
 6. Cyprian NtibonekaMonday, April 22, 2013

  afu hawa watu ndo wanaiua bongo fleva..... aaaaa tupa kuleeeee!!! we ndo Komando mwenyewe,,,,,lazima watakaa.

  ReplyDelete
 7. Kweli mungu si nani wa yule atakusaidia

  ReplyDelete
 8. huyo ruge na kusaga ni k kama k nyingne kaza komando

  ReplyDelete