Tuesday, April 23, 2013

LULU FEKI AIBUKA NA KUCHANGISHA PESA FECEBOOK...SOMA JINSI WATU WALIVYOTAPELIWA PESA ZAO

Mtu mmoja ameamua kwa maksudi kabisa kutumia jina la msanii lulu michael lulu na kujikusanyia fedha kwa njia isiyo halali kwa kutumia jina hilo
Akizungumza kwa njia ya simu msanii huyo amelaani kitendo cha mtu huyo kuweka namba za simu na kusema lulu ameongeza nafasi za waigizaji wachanga ,lulu amesema kwasasa amejipanga na ataweka mwanasheria wake ili kulishughulikia hilo kwani inaweza kumchafua sana,
lulu huyo feki anatumia jina la Elizabeth Michael lulu na pia anatumia picha za lulu na anachati na watu kama lulu na hata pesa anazotumiwa anazipokea kama lulu sasa wadau mbali mbali wakichangia hili wameonyesha kukerwa sana na jambo hilo na kuahidi kumshughulikia mtu huyo
Hebu angali hapo chini mwenyewe utaona kila kitu


Elizabeth Michael Lulu
TUMEONGEZA NAFAC 15 ZA KUSAJILI WASANII WACHANGA. PIGA sasa 0716085715 USAJILI

 • Mtega Semeni wasanii waliokomaa na kubobea ni akina nani na wako wapi hapa Tanzania?
  5 hours ago · Like · 2
 • Godi Mponzi Hakuna mtu ambaye hapendi kutoka kimaisha bongo. Unapo amua kutoa kitu to mass ili uonekane tu is a fool. Inatakiwa serious na unacho kifanya sio kelele kwenye mtandao ili uonekane, we need material or ideological support and critical argument which can equipe and libarate our human mind.
  4 hours ago via mobile · Like · 1
 • Godi Mponzi Hakuna mtu ambaye hapendi kutoka kimaisha bongo. Unapo amua kutoa kitu to mass ili uonekane tu is a fool. Inatakiwa serious na unacho kifanya sio kelele kwenye mtandao ili uonekane, we need material or ideological support and critical argument which can equipe and libarate our human mind.
  4 hours ago via mobile · Like
 • Moses Lwesya nimefuatilia sana tunatuma hela alafu simu zenu azipatikani inakuwaje?
  2 hours ago via mobile · Like · 1
 • Steven Shoo uhuni mtupu

1 comment:

 1. kwa ajira za kibongo zilvo ngumu, apo watu lazma waliwe..ila lulu mzur jamani ngoja na me takuchangia buku mrembo wangu

  ReplyDelete