Tuesday, April 09, 2013

MASKINI:MAMA MJAMZITO AANGUKA KUTOKA GHOROFANI LEO
Msichana huyu Mjamzito alianguka toka kwenye ghorofa ambapo mme wake anafanyakazi kama mjenzi.
Kwa sasa yupo mahututi, na tumuombee tukiamini maombi yetu kwa Mungu yatasaidia kumponya...Tutawaletea Habari zaidi Baada ya Kupata Mkasa Mzima..Stay tuned.......

No comments:

Post a Comment