Tuesday, April 16, 2013

MASTAA KIBAO WAMIMINIKA AGHANI KUMUONA DAVINA BAADA YA KUJIFUNGUA SALAMA

Hivindivyo mastaa kibao wanavyozidi kumimika hosptalini kumpongeza mwanadada halima yahaya ama Davina ambaye ni msanii wa bongo movies kwa kujifungua salama mtoto wake wa kiume hapo katika picha wa kwanza kushoto ni Salima Salimini (Sandra), Jenifa Kyaka (Odama),Herieth Chumila (dada herieth)kwa pamoja wakiwa hosptalini Aghakani kumpongeza mwenzao ambaye kwa jina la utani hupenda sana ukimuita Kirikuu

No comments:

Post a Comment