Friday, April 05, 2013

MKE WA MTU AFUMANIWA GEST - CHALINZE AKITOA PENZI KWA RAFIKI WA MUMEWE.....


 
TIMBWILI la aina yake liliibuka hivi karibuni katika nyumba ya kulala wageni maeneo ya Chalinze Bagamoyo kufuatia mumewe aliyefahamika kwa jina la Abuu kumnasa mkewe akiliwa uroda na rafiki yake wa karibu aliyefahamika kwa jina la Benard Celestin....


Tukio hilo la aibu lilitokea saa 11:00 alfajiri ya tarehe 27 march mwaka huu baada ya mumewe kuweka mitego mikali iliyopelekea kumnasa live mkewe akipewa mambo na rafiki ya mumewe.....


Kabla ya fumanizi hilo, mumewe aliaga anaendaDar.Mkewe alimsindikiza mpaka stendi huku akiwa na furaha tele.....

Jamaa alishukia njiani na kurudi kinyemela.....Za mwizi arobaini, mida ya saa saba usiku,Gari lenye rangi nyeupe lilitua nyumbani kwa jamaa na kushuhudia mkewe akitoka nje na kupanda ndani ya gari hilo.........
Mumewe pamoja na kundi zima la waandishi wa habari hii walianza kufuatilia mpaka walipofanikiwa kumnasa mwanamke huyo na rafiki wa mumewe wakivunja amri ya sita kama unavyowaona walivyojawa  aibu usoni.

No comments:

Post a Comment