Monday, April 29, 2013

MSANII SIZE NANE ANAILILIA BIKRA YAKE HADHARANIMwanamuziki  aliyeitikisa vilivyo Kenya kabla ya kuokoka na kuachana na muziki wa kidunia, mwanadada Size 8 sasa ameanza kufunguka katika interview kwenye vituo mbali mbali vya redio na Tv kuhusiana na maisha mapya ya kidini.

Kati ya  mambo yote ambayo Size 8 amekuwa akiyaongelea, ni moja tu ambalo amekuwa akilitilia mkazo kwa kumaanisha kuwa linamsikitisha zaidi .....Jambo hilo ni lile la kupoteza BIKRAYAKE.....
Size 8 ameziambia media kuwa  "Najutia sana kupoteza bikra yangu. Ninaamini kuwa kijana anatakiwa kujilinda na kujizuia kufanya ngono katika ujana wake wote mpaka atakapo pata kibali toka kwa Mungu.

2 comments:

  1. NI KITU HAKIWEZAKANI KABISAAAA KWA VIJANA WA MJINI, NO WAY NYEGE ZA USICHANA KALI SANA NI SIO RAHISI KUZUIA. IMETOKA HIYO.

    ReplyDelete
  2. hahahaaaaaaa hapo size 8 ametuenjoy kabsaa,,,,,wokovu gani hyo ya shetani kupigwa mateke???dada wewe watafuta sifa na pesa usitudanganye kabisa,,still bado kuvaa yako mbovu jifunze kuvaa kwanza ndipo uokoke wewe usipochunga utatia pastor majaribuni...styl up we r tired of yua ptetends.

    ReplyDelete