Thursday, April 18, 2013

MTANDAO WA MAREKANI YATOA PICHA YA MREMBO FLAVIANA MATATA KUTOKA TZ AKIWA HAJAVAA NGUO SEHEMU YA JUU YA MWILI WAKE ONA HAPA.

.

13 comments:

 1. Damn!now things are upside down,where we are Tanzanians n where we are going!??

  ReplyDelete
 2. God have Mercy on us.....

  ReplyDelete
 3. Ni udharilishaji uu

  ReplyDelete
 4. stop the ignorance..this is not "udaku", its what you call high fashion.... Mxii....and its her wewe inakuhusu nini kama kajiharadhisha au la....people talking about things they dont even have knowledge on... Psst!

  ReplyDelete
 5. HUYU FLAVIANA KASHAKUWA MALAYA ALIYESHINDAKANA BWANA SASA KAANZA KULALANA NA WANAUME ZA WATU NA AMEFANYA HII MAMBO SANA NA ANAENDELEA TUSHAMCHOKA HUYU BINTI ANAIABISHA TANZANIA MBONA HATULII KAA MILLEN BWANA ANAMAKASHFA KILA SIKU MARA KALALWA NA HUYU MARA YULE ABADILIKE BWANA ANAKINUKISHA SANA HATUWEZI TENA KUMBEBA KWANI HABEBEKI.

  ReplyDelete
 6. High fashion my ASS amechoka anaishi kwenye kiapartment uchwara hana hata furniture za maana anabeba ma channel beg fake kila siku high fashion nyumbani kwao sio hapa kwanza ajiangalie vizuri mbona kina kimora hawakuvua vua nguo kama yeye bwana na wanalipwa vizuri itakuwa yeye anaevoluntia kupiga picha za uchi kila siku bwana. Inabidi ajipange upya aje na jipya sio uchi hatuhitaji uchi. Akajiendeleze aende shule aache kupiga picha za uchi tafadhali

  ReplyDelete
 7. So stupid girl

  ReplyDelete
 8. Mmmh!! kashafika mbali huyu binti jamani, mpaka kuonyesha sehemu yake ya nido wazi, anaiabisha nchi yetu kwa kuwa mrahisi kwa kila kitu. Heee hebu kuwa bhasi jamani utoto weka kando

  ReplyDelete
 9. huyo ni mwanamitindo acheni ushamba...hiyo ni kzi yake na anafanya vile inavyompasa..mlitaka apige picha kavaa vitenge au kaniki? hebu tafuteni mambo ya maana ya kuandika, mnaacha kwenda kuandika mabo yanayohusu watanzania wote kama huko loliondo mnakaa kufatilia maisha ya mtu mmojammoja...stupid jornalists

  ReplyDelete
 10. NJAA ZINAWAPELEKA WATANZANIA MBALI MBONA MODELS WA MAJUU HATUWAONI KATIKA MATUKIO YA HOVYO HOVYO. Tusipokemea NJAA na kutafuta njia halali za kijipatia kipato Kila siku itakuwa AIBU kila KONA.


  ReplyDelete