Sunday, April 07, 2013

MUNGU MKUBWA LULU NA MAMA KANUMBA STORI KAMA KAWA...LULU ALALA BEGANI KWA MAMA KANUMBA

Masanii wa filamu nchini tanzania elizabeth maiko na mama mzazi wa marehemu steven kanumba ni kama wamekata maneno ya watu mtaaani kwakile kilichojijenga kuwa mama wa kanumba anamchukia lulu.

Hili limejionyesha wazi mara baada ya picha hii kuwa mtandoni ikimuonyesha mama kanumba na lulu wakiwa wamekumbatiana huku lulu akiwa amelalia begani kwa mama kanumba thesuperstarstz inampongeza mama kanumba kwakuonyesh roho nzuri isiyo na kinyongo kwa lulu.

No comments:

Post a Comment