Saturday, April 27, 2013

DIAMOND AWATAKA MADEMU WA LONDON WAJIPENDEKEZE ILI ACHAGUE WA "KUWAPA URODA".

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anaendelea kutunisha akaunti yake baada ya kulamba shavu la shoo za kutosha nchini Uingereza ambapo ameahidi kurejea Bongo na mchumba 
rasmi atakayemtambulisha kwa mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’.

Mkali huyo wa ngoma ya Kesho alifunguka hayo juzikati kupitia website yake alipokuwa akizinadi shoo hizo atakazofanya kwenye majiji ya London na Reading, Uingereza ambapo aliwataka warembo hasa Wabongo waishio humo kupendeza ili achague mmoja atakayekuwa mchumba’ke.

Bila kujali mjadala utakaoibuka kwa kuwa tayari ana mchumba ambaye ni Penniel Mungilwa ‘Penny’, Diamond alifunguka: “Mashabiki wangu wa London na Reading kijana wenu nakuja kuweka historia kwa mara nyingine. Warembo mpendeze nakuja kuchagua mchumba mmoja wa kuja kumtambulisha kwa mama Diamond.”

7 comments:

 1. WHERE ARE U PENNY? BWAHAHAHAHAHA CHEZEA DIAMOND WW? KATAFUTE MAVI YA KUKU UBANJE

  ReplyDelete
  Replies
  1. I LOVE U WEMA, WEWE NI MKALI WACHA KUCHEZA NA VITOTO IVI VITAKUHARIBIA UR REPUTATION MWWWWWWWHHHHHHHHHHHHHH UKIMYA WAKO UNAAZNA KUFANYA KAZI

   Delete
  2. pwaaaa>>>>wat gos around comes bck around>>>juzi wamekuchafulia jina saizi ndo hyu diaomond amruka penny futi 2000,,,keep it up wema sepetu dnt allow this hyena diamond to come near yu again yu r so pretty na haufai kulinganishwa na na makahaba kama penny,,,,pray n God wll gve yu your mr right,,,,i salute yu....mch respect from KENYA

   Delete
  3. Hayo sio maisha

   Delete
 2. laa diamond kijogo unawabadil kam mguo.autompat anaekupend kam wem sepet.mar joket .penny nauyo mwengine tena.take care diamond you must to choose one you lov.lakin ukiendelda iv ukimwi utakubamba.do from buja

  ReplyDelete
 3. Wema Mungu akubaliki sana,for sure mungu anazidi kukubaliki katika kazi zako na kwa sasa umetulia sana baada ya kuacha na huyo mtoto Mdogo ambaye bado ajakuwa vizuli katika Mapenzi,Endelea kufanya kazi kwa bidii na kuangalia maisha yako zaidi,Pia uzidi kujieshimu ili upate mtu wa kueleweka na uolewe na kutulia na familia yako,Kama mapenzi kwako hakuna kigeni,pigana sana dada,nakutakia kazi njema,

  Regards,

  Jackson/Banyenda...Mtwara-Shangani West.

  ReplyDelete
 4. Tulia kaka na mwanamke mmoja.penny anakufaa sana.

  ReplyDelete