Monday, April 08, 2013

 HAYA NDIO YALIYOAJIRI KATIKA KUMBUKUMBU YA KANUMBA KUTIMIZA MWAKA MMOJA BAADA YA KIFO  CHAKE.
Ray akihojiwa na zamaradi

 Jana ilikuwa siku ya kumuenzi kanumba muigizaji aliyetoa mchango mkubwa kwa tasnia ya filamu kukubalika haraka nchini Tanzania. wasanii mbalimbali na wananchi wa kawaida walihudhuria kwa wingi kuonyesha ni jinsi gani Kanumba alikuwa anapendwa na wengi. Familia yake jana ilitoa tuzo kwa watu mbalimbali. Angalia picha hizo............
Raisi wa shirikisho la filamu akipokea tuzu ya heshima
Maya,Cath na Salma Salimini (Sandra)
 Millard Ayo Akipokea tuzo toka kwa Mama kanumba

Msungu akiongea machache
Mayasa Mrisho Akiongea machache
 
   

No comments:

Post a Comment