Wednesday, April 17, 2013

NYUMA YA PAZIA : MUZIKI GANI BY NAY WA MITEGO FT DIAMOND PLATNUMZ


Ule muziki unaofanya vyema sasa hivi katika redio mbali mbali nje na ndani ya bongo muziki gani ulioimbwa na wasanii wawili Ney wa Mitego na mwenzie Diamond Platnumz umefanyiwa video matata chini ya mtu mzima Adam Juma na hayo hapo chini ni maneno ya Diamond aliyoyaandika katika blog yake soma na undelee kuangalia picha
Napenda kumshukuru Mungu kwa siku ya jana..... tarehe 16
 mwezi wa 4...mapema asubuhi
ya jana...Tukifanikisha kile watu wengi walichokuwa wakikisubiria kwa hamu.....
Tulikuwa location jana na brother wangu kabisa,

The True Boy Nay wa Mitego
wakati tukishoot video ya New Hit Song yake akiwa 

amenishirikisha humo ndani..!
Namshukuru Mungu kwa uwezo wake kufaikisha 

mipango yote ya location kwenda
saawia kabisa na kufanya wepesi kwa kila jambo.....pia 

bebez kali zote za town walishow
love kufika na ballerz walionesha ushirikiano....!!

Napenda Pia kuushukuru Uongozi mzima wa New

 Africa Hotel.....kwa location ya
casino.....pia na uongozi mzima na wafanyakazi wa

 New Africa hotel upande
wa Casino....!!
video ilianzia hapa new africa hotel na kumalizikia 

Sinza uwanja wa kinesi
kwa upande wa Mkong'oto Jazz Band walipoonesha 
umahiri wao kuchora
Graphics..... Production ikiwa imesimamiwa na The Bigdaddy Adam Juma
chini ya NEXT LEVEL

Zifuatazo ni Picha Mbalimbali za Location ya video shooting ya Muziki Gani...
Matayarisho yakianza....!! kwa Ney
Lights On.....Camera On Set....!!
Mara Bangi ,Mara Matusi sa ndo Muziki gani....?
Usafii kama kawaida .....!!
DJ Ommy Crayz  in town akiwa na msanii nguli kutoka
South Africa Qboy Mnyama....!!
Dada  Halima kimwana alikuwepo asubuhi asubuhi
kuakikisha mambo yakienda saawia...along side with Twins Fashion...!
!

Diamond Platnumz with Flowers....!
From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma Khan,Faridah,Mariam and the President
Himself Diamond...!!

Bebez wakali waliofurika kushow Love kwenye video ya Muziki Gani...!
President wa wasafi Diamond Platnumz akiwa na flowers...!
Ney na warembo
The Bigdaddy Himself Adam Juma akifanya yake....!!
Ilikuwa Location upande wa Casino.....


Baada ya kumaliza shooting ya pale casino,safari ilianza kuelekea sinza kumaliza
shooting kwenye Graphic iliyochorwa na Mkong'oto Jazz Band....!!

WASAAAFIIIIII......!!
Maandalizi yakaanzia hapa...baada ya kuwasili sinza....!!

MKONG'OTO JAZZ BAND....!!Jamaa huyu ndo aliechora graphics zote kutoka mkong'oto jazz band
na kuchora michoro tofauti ....!!


on set...location #2 sinza.......
DJ OMMY CRAYZZ...!
Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata....


No comments:

Post a Comment