Sunday, April 14, 2013

NYUMBA YA DIMOND YAKARIBIA UKINGONI

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayeongoza kwakuandikwa sana na vyombo vya habari nchini ameendelea kuandikwa hasa baada ya inshu yake na uwoya kuchukua ukrasa mpya katika vyombo vya habari.
 
Diamond ambaye hivi majuzi waandishi wa habari walimvamia katika eneo analojenga nyumba yake na kuiweka hewani japo mwenyewe alisema alificha kwani alitaka kuja kuwastukiza watu ila kwakuwa wamemuwahi hana jinsi.
 
Kwasasa nikama kusalimu amri kwani mkali huyo wa steji ameanza kuionyesha nyumba yake hatua kwa hatua itazame hapo diamondplatnumz
Photo by diamondplatnumz
Busy Day.. jus visiting One of my #KIOSK


No comments:

Post a Comment