Saturday, April 27, 2013

PICHA TOFAUTI ZIKIMUONESHA DIAMOND AKIWA KWENYE JIJI LA MALKIA ELIZABETH


Napenda kumshukuru mungu kwa siku ya leo.......
Jumamosi mwanana.....nikiwa mbali na uso wa nyumbani,
nikiwa ugenini kutafuta riziki......Shukrani za pekee
pia kwenu mashabiki zangu wa dhati....mahana
bila nyinyi si Mimi.....Nashukuru mungu kwa ulinzi wake...
nipo salama salimini kwenye jiji
la Malkia elizabeth....nashukuru uongozi mzima kwa
mapkezi mazuri na huduma nzuri mimi
na dancers wngu.......!!

Nashukuru mungu kwa brekfast mwanana niliyopata na
kunifanya nijiskie mwenye hari zaidi...
kabla ya kuanza kukatiza mitaa ya jiji ili leye watu z
aidi ya maelfu ya wanachi wanaotokea
nchini mbalimbali duniani....!!

Nikiwa na dancers wangu....,my oung brother...
Mose Iyobo.....around headin to town...
au vp bhana.... tuki refresh mind kabla ya kibarua
kizito baadae nighyt siku ya leo
tarehe 27 april...!!
For more Info Stay connected na Blogsite yako
ya kijanja ya This is Diamond
kwa update zangu na za kijanja zaidi....
Hapa tukiwa tumemaliza kupata chakula cha mchana......
with my bwoy Dumi utamu
n mose iyobo......

5 comments:

 1. Ukimaliza Ujenzi wa Nyumba a.k.a KIOSK utafute ushari wa jinsi gani utakavyoweza kujiendeleza Kielimu kidogo ili uweze kusimamia hivyo unavyovitafuta kwa SASA.

  PIA Napenda kukupa ushari wa BURE ili uwe mwanamuziki tofauti kabisa na wengine kwa mafanikio katika umri ulio nao, Ukirudi Nyumbani UTAFUTE MKE UOE kwani lazima ukumbuke kila palipo na mafanikio kwa Mwanaume kuna mwanamke nyuma yake MFANO wewe sasa hivi MAMA yako anakusaidia umewahi kukiri hadharani.

  Acha kujidanganya na hawa WANAWAKE wa KILA KUKICHA WANAKUSIKIA WANAKUTAMANI WANAKUPATA mwisho wake UTAKUWA MBAYA.

  Na ukumbuke WEWE hutokuwa wa kwanza kuwa star na kuishia HOVYO HOVYO. Badilika AMUA MAPEMA ni USHAURI TU.

  ReplyDelete
 2. huna lolote hata ukienda mars maemu kibao hawakushobokei kanisa huna adabu wema amekufundisha kiingereza wewe hadi unafika huko unakiongea vizuri kwa sababu yake...kwanini unamdhalilisha kiasi hicho? nilikuona wa maana kumbe mshamba tu wewe domo laKO CHAFU. SIKUPENDI NAKWAMBIA UNAJIONDOLE UMAARUFU KWANZA UNAJISHUSHIA HADHI...HAYO MAMBO WENZAKO WANAMALIZA KIMYA KIMYA SASA WEWE UNAMREKODI WEMA ILI IWEJE HALAFU UNASAMBAZA KWENYE MTANDAO UNAONA SIFA AU UANJITIA USHAMBA INGAWA MSHAMBA TAYARI...JE WEMA AKIKUANIKA ULIVYO UKIWA MTUPU? JIHESHIMU.

  ReplyDelete
 3. haya maisha tu nakushaur mdogo wangu pigana ila kaa ukijua ipo siku hautakuwa na maisha km ya leo uliyo nayo,cha msing kaa chin ujipange kwa maisha ya baadae,achana na starehe na kubadilisha wanawake ww hujui tu wengine wanatafuta maslah kwako na hawana mapenz ya kwel,huu ni ushaur wa bure usije ukajuta baadae na ukatamfuta mchaw wakat umejiroga mwenyewe

  ReplyDelete
 4. mbona umekaa sana uko diamond tumekumiss sana na kwa wanaokuchukia watajibeba tunaokupenda tupo wengi saana big up.

  ReplyDelete
 5. humu wengi mnaongea majungu( foolish comments)

  ReplyDelete