Friday, April 19, 2013

PICHA ZA TUKIO ZIMA LA MAZISHI YA BI KIDUDE JANA HUKO ZANZIBAR....RAISI JAKAYA KIKWETE RAISI ALLY MOHAMED SHEN .WASANII,WATANGAZAJI NA VIONGOZI MBALI MBALI WAHUDURIA

Raisi jakaya Mrisho kikwete Wa Jamhuri ya muungano wa tanzania akiwa na Raisi wa zanzibar Ali sheni
Picha za mazishi ya Bi. Kidude. Viongozi wa serikali kama rais Jakaya Kikwete, rais wa Zanzibar Ali sheni, makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar maalim Seif Sharif Hamad, na wasanii kama Mzee Yusuf, Diamond Platnumz, nk walikua miongoni mwa wahudhuriaji katika kumsindikiza gwiji huyo wa Taarabu katika safari yake ya mwisho.

Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru. .......msibani kwa Bi Kidude
Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya Marehemu Bi Kidude

Sehemu ya umati wa Watu waliofika msibani

Msanii mahiri wa taraabu mflume Mzee yusuph ni kati ya wasanii waliohudhuria kumzika bi kidude


Msanii Diamond mwenye kanzu nyeupe na kizibao akiwa eneo la makaburini
Hapa ndipo alipolala milele Bi kidude


Msanii Diamond akiwa na viongozi wakati wakiomboleza

1 comment:

  1. YAANI DIAMOND HII ALICHOONESHA NI ZAIDI YA USANII HUU NI UTU
    TIPCKLY .NA KUJIELEWA YEYE NI NANI KWA WATU NA KWA MUNGU .ILA NA KAMA HALEWI .I SAY YES. I MEAN NINI KIOO CHA JAMII

    ReplyDelete