Monday, April 08, 2013


PICHA ZA UCHI NI UDHALILISHAJI MTUPU HAKUNA MAPENZI HAPO.. 
ANGALIZO:
WaTanzania hatuna utamaduni wa kupiga picha za uchi kwa kuoneshana tunapendana kwa dhati!! Hakuna tija yoyote kufanya hivi, Dada zangu kuweni makini yasije kuwakuta kama huyo dada(pichani hapo juu) anayefahamika kwa jina la 'jackline'

1 comment:

  1. Duuuuuuuuh!tutapoelekea uaminifu sifuri

    ReplyDelete