Monday, April 22, 2013

PREZZO KUTOKA KENYA AONEKA AKIWA MTUPU NA MADADA WAWILI WAKIWA BAFUNI HEBU ZIONE PICHA HAPA.


Mwanamziki kutoka Kenya Jackson Makini a.k.a. Prezzo baada ya kurelease ngoma yake mpya iliyokwenda kwa jina la  Liqher,  sasa baada ya kuachia video hiyo katika hali isiyo kuwa ya kawaida picha zake akiwa mtupu yeye pamoja na wenzake zimesamba hizo zinasemakana ni katika hali ya kufurahii kichupa chake hich amcaho bado ni kipya kabisa

1 comment:

  1. his just shooting a video nothing much so wacheni NYE NYE NYE....NKT NKT

    ReplyDelete