Thursday, April 04, 2013

SEHEMU YA PILI YA LAANA WALILOFANYA KANGA MOJA HUKO BUKOBA KATIKA SHOO YA DIAMOND...WANAWAKE WAZIFICHA SURA ZAO KWA AIBUHapa mwanamke huyo akiloweshwa maji katika makalio kwa lengo la kuianza shoo huku watoto wakishuhudia
  Wadau nadhani mtakumbuka ni jana tu tumeongelea kundi hili na huu ni muendelezo wa picha mbaya sana na za kudhalilisha utu wa mwanamke, kusema kweli najuwa wapo wadau ambao watata watetea hawa na labda kutokana na maslahi flani wanayoyapata au kutokana na ushabiki tu ili waonekane nao wamefanikiwa katika lao.
Kwa upande wetu hatuwakatazi kujitafutia riziki ila kinachojadiliwa hapa ni uvaaji na jinsi ya uendeshaji wa shoo zao,Kwa upande mwingine tunaweza kusema wana uhuru wakufanya walitakalo ila wasivunje sheria sasa kama swala ni hilo basi kwa ushauri ni vyema wasifanye shoo za wazi ili kuwafanya wototo wasione kile wakifanyacho

Kiukweli  thesuperstarstz imeshuudia picha za hawa wadada na hapa najaribu kuchambua ili kuweka baadhi tu kwani zipo nyingine zinaonyesha kila kitu hivyo siwezi kuziweka hapa kutokana na maadili yetu,Kwasasa mdau hebu ungana na mimi uone picha hizi.                                               Mambo yamepamba moto  watu kutunza ni kama kawaida


Hapa akikata nyonga no chupi
Hapa akionyesha ufundi wakukaa na kukata nyonga
Watu wakishuudia balaa lenyewe huku wengine wakigeuka na kuficha sura ao haswa wanawake
Kwa watu waliokaa hapa walikuwa wanaona kila kitu live bila chenga
No chupi plas kanga kulowa na kufungwa upande mmoja kisha kila wakati wanajibinua binua hebu fikiri watu wanaona vingapi maana wakina dada hawa hawajali chochote ukiwahoji wanadai wapo kazini
Muziki ndichokitu kinachowachanganya zaidi hawa na kuwafanya wasikie la mtu ama kwa hakika ukiona shoo yao kama upo na mkeo basi aibu tupu
Hapo mdau mwanamke na mwanaume wakifanya kama wanafanya mapenzi kumbuka mwanamke hana chupi na kanga imefungwa upande mmoja na hapo mwanaomea humshika shika kwa kucheza bila kujali watu waliopo pale.

No comments:

Post a Comment