Saturday, April 13, 2013

SUPER STAR KIM KARDASHIAN KUMALIZA MAMBO MAHAKAMANI


Super star Kim Kardashian ameamua kumaliza mgogoro wake na aliekuwa mumewe
walietengena takribani miezi miwili......
Jana alionekana mahakamani mchana.....kilichowashtusha watu zaidi
ni pale alipowasili mahakamani mwenyewe wakati watu wengi walitegemea
kumuona akiwa na familia nzima na boyfriend wake Kanye west,lakini haikuwa
kama hivyo...!!

Kim alionekana mwenye kujiamini sana.....na aliwekewa ulinzi maalumu
kutokana na hali yake na sababu za kiusalama...!!
alionekana mwenye Imani sana baada ya mumewe wa zamani....
Kris Humphrey kutokutokea
mahakamani na kumpa Kim kujiamini kupewa
 talaka yake karibuni...!!

No comments:

Post a Comment