Monday, April 29, 2013

TAZAMA PICHA ZA SHOW ALIYOPIGA JANA IZZO BIZNESS WAKATI WA UZINDUZI WA NYIMBO YAKE MPYA


Usiku wa jana katika ukumbi wa disco wa AMBASSADOR LOUNGE, mkali kutoka Mbeya City, talkin about IZZO BIZNESS alikuwa anazindua ngoma yake mpya inayojulikana kama ...

Ngoma hiyo inayojulikana kama LOVE ME ilichezwa kwa mara ya kwanza katika disco hilo huku akisindikizwa na wasanii wenzake kama SHAA na BARNABA ambao wameshirikishwa humo ndani ...
IZZO BIZNESS akimvalisha mrembo aliemchagua zawadi ya miwani ambayo aliingia nayo on stage kupiga show ...
Mbeya City was in the building ... QUICK ROCKA na IZZO katika BALL PLAYER on the performance ...
IZZO BIZNESS na BARNABA wakikinukisha kwa fans ...
SHAA doing her thang ...
IZZO BIZNESS akiwa na fans baada ya show ... Kulia ni mwanadada WEMA SEPETU ...

1 comment: