Saturday, April 13, 2013

UPDATE: TANZANIA YAONYWA VIKALI NA WAASI WA M23 DRC ISIPELEKE WANAJESHI

Serikali ya Tanzania imeonywa vikali kuhusu mpango wake wa kupeleka Vikosi vya Kijeshi kupambana na kundi la waasi wa M23 nchini Kongo DRC.

 Katika barua yake kwa Rais wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete, kiongozi wa kundi la M23 ameionya vikali serikali ya Tanzania kuhusu mpango wake huo na kuitaka iusitishe mara moja. 

Aidha kwa mujibu wa Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa ichi zitakazopeleka vikosi vya kijeshi nchini Kongo DRC ni Tanzania, Afrika ya kusini na Malawi. 

Source DW Kiswahili katika habari za Afrika mchana huu.

No comments:

Post a Comment