Tuesday, April 09, 2013

WAKATI KENYATTA AKIAPISHWA LEO, ODINGA AMESUSA NA KUELEKEA AFRIKA KUSINI

 Wako kwenye mbuga za wanyama Afrika Kusini wanakula

Taarifa kuhusu kina Odinga na wagombea wenza kwenda Afrika Kusini zimetokea @FORA_2013 page ya Organisation inayomsupport Odinga aliekua mgombea Urais kwenye Uchaguzi wa Kenya ambao Uhuru Kenyatta ndio katangazwa mshindi na anaapishwa leo.

Inadaiwa Raila Odinga na wagombea wenza wameamua kukwepa kuwepo kwenye kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta na kuamua kwenda Afrika Kusini .
No comments:

Post a Comment