Saturday, April 06, 2013

WEMA SEPETU AWAKUSANYA MASTAR NYUMBANI KWAKE KUPATA LUNCH...AWASHANGAZA WAGENI KWA MAPISHI YAKEStar wa filamu nchini wema sepetu ameamua kuandaa chakula cha mchana na kuwaalika baath ya marafiki zake wakiwemo wasanii wenzie na kula nao chakula hicho alichokiandaa mwenyewe.

Wema aliiambia thesuper stars tz kuwa kwake yeye kupika ni kitu cha kawaida na ni kati ya vitu anavyovipenda sana,pia wema amesema kuwa yeye binafsi hufurahiya sana kukaa karibu na marafiki zake ndio maana hupenda sana kuandaa pati au kukutana kwake lengo likiwa ni kubadilishana mawazo na kupambana na changa moto zinazoyakabili maisha yetu ya kila siku,


Awali kuna watu hawakuamini walipoambiwa wema ndio yupo jikoni anapika wakadhani ni utani kwani imejengeka kuwa wema hajui kupika kwani yeye ni mtu wakujiremba masaa yote ,ila tofauti na hisia hizo wema aliwapikia chakula kitamu na kuwafanya wahudhuriaji kupigwa na butwa wakati walipoanza kula chakula hicho huku kila mtu akikisifia na kuongeza mara kadhaa.


The super stars tz iliwashuhudia mastar kibao walioalikwa pande ni pamoja na Vicent kigosi,(Ray)Juma Chikoka (Chopa)Shamsa Ford,Irene Uwoya,Mayasa Mrisho,Sudy ally,Saguda Georg na Hatman Mbiliny Kwa pamoja masta hao wamemsifu wema kwakuonyesha moyo wa upendo kwa ndugu na rafiki zake kwani ni jambo bora wana ndugu kukaa pamoja kwa amani na upendo alisema jb maarufu kama bonge la bwana.


 

No comments:

Post a Comment