Friday, May 31, 2013

AJALI: AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIA KICHWA WAKATI AKIPANDA DALA DALA MAENEO YA ILALA BOMA...!

afariki-akidandia-daladala-0
afariki-akidandia-daladala


Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika, amefariki dunia baada ya kuteleza na kuanguka wakati alipokua akijaribu kudandia Daladala maeneo ya Ilala Boma, Jijini Dar es Salaam leo. Marehemu huyo baada ya kuanguka na kupiga kichwa kwenye lami, alipasuka kichwa na kuvuja damu nyingi kichwani, na kufariki katika eneo la tukio.

No comments:

Post a Comment