Tuesday, May 28, 2013

BREAKING NEWS: MSANII ALBERT MANGWAIR AFARIKI


Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa
  Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa msanii Albert Mangwair amefariki dunia akiwa nchini Afrika Kusini alipokuwa katika ziara zake binafsi. 
Chanzo  cha  kifo  hicho  bado  hakijafahamika  lakini  taarifa  za  awali  zinadai  kuwa  msanii  huyo  hakuamka  tangu  alipolala .

Hussein Original ambaye yupo Pretoria amesema Ngwear  na   M to the P  ambaye walikuwa room moja walitakiwa kurudi Tanzania leo  wakitokea  Afrika kusini..

Walipowapitia,  waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya...
 
Mpaka sasa M to the P yupo hoi  katika  hospitali ya St. Hellen  huku  msanii Ngwair  akiwa  tayari  amekwishaaga  dunia.....

ENDELEA KUWA NASI TUWEZE KUKUPASHA  ZAIDI

R.I.P   Ngwair

1 comment: