Tuesday, May 28, 2013

HII NDIO ILIKUWA TWEET YA MWISHO YA ALBERT MANGWEA KABLA YA KIFO CHAKE.

R.I.P. Bro ngweir nyuma yako mbele yetu kaka ama kwa hakika majonzi na vilio najua vinatawala kwasasa karibu kila kona ya nchi yetu hususani kwa wapenzi wa muziki haswa wa kizazi kipya alimaarufu kama bongo fleva kwakuondokewa na kipenzi chetu mwenye majina kibao kama mkali wa mashairi,mkali wa free staili Albert Mangweir mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amini.

No comments:

Post a Comment