Sunday, May 26, 2013

HII NDIO SIRI YA DIAMOND KUZIDI KUWA STAR

diamond-platnumz-0
Hapa kijana akiwa katika moja ya shoo zake

Wakati akiongea na mtandao huu msanii Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz, alifunguka kuhusu sababu zilizomfanya awe na mafanikio kwenye fani ya muziki. Kwa mujibu wa mtandao huo, zifuatazo ndio sababu ambazo Diamond amesema zinamfanya awe yuko juu na na kila siku ananendelea kuwa juu tofauti na baadhi ya wanamuziki wengine

1. “Mungu ndio kila kitu kwa maisha ya binadamu,so napenda kumtanguliza Mungu kwa kila nikifanyacho”
2. “Sipendi starehe,kutumia pesa vibaya,naiheshimu sana pesa yangu,matumizi yake makubwa ni chakula,pengine mafuta kwa ajili ya gari matumizi mengine ya mhimu kwa binadamu na zaidi naitumia pesa yangu kufanya kitu kitakachoendelea kumantain muziki wangu”
3. “Sibani pesa kwenye swala la kujijenga kimziki, niko tayali nitumie milioni kadhaa kufanya kitu kitakachojenga status yangu vizuri,mfano kugharamikia mavazi ya shows n.k”
4. “Nampenda sana mama yangu na pengine kuna thawabu ninazozipata kwa kitendo hicho kwake sintokuwa kwani malezi yake ndio yamenifikisha hapa nilipo hadi kuwa diamond wa leo.

2 comments:

  1. inawezekana jamani kwani penye mafanikio siku zote huwa binadamu hatukosi cha kuongea maana yanasemwa mengi juu ya platinum oooo mara freemasoon,kuna ostadh nae alijitokeza na kusema yy ndo kampa dawa ya mvuto wa muziki,mm namkubari xn mshikaji yupo vizuri endelea kujiiiiiipaaaaaaaaaaaangaaaaaaa mungu yu pamoja naweeee.

    ReplyDelete
  2. Kweli penye riziki hapakosi fitina,mengi yanasemwa sana juu ya rizki alopewa Platinum,na mengi yatazidi kusemwa but kikubwa Platinum endelea kumtanguliza Mungu mbele kwa kila jambo Inshallah utafinikiwa saaana tu. Vilevile kuendelea kumheshim mzazi wako "mama" basi radhi "Baraka" zote za Mwenyez Mungu Unazo.Amiiiiin!Keeep it up! Kazi zako nzuriiii sana, watapenda tu ucjaaaali.

    ReplyDelete