Wednesday, May 01, 2013

HUZUNI:::AJALI MBAYA SANA YATOKEA ENEO LA MBOGA KARIBU NA CHALINZE,WATU WAJERUHIWA SANA TAZAMA PICHA


 
BASI AINA YA COASTER LIKIWA LIMEHARIBIKA VIBAYA BAADA YA AJALI HIYO

 HIZI NDO NAMBA ZA GARI NDOGO ILIYOSABABISHA AJALI HIYO
 HUYU NI KONDA WA COASTER HIYO ALIYETEGUKA KIUNO
 MAJERUHI WAKIWAISHWA HOSPITALI
 HICHI NI KICHWA CHA LORI KILICHOGONGANA NA COASTER
 HAWA NI VIBAKA WALIOKAMATWA WAKITAKA KUIBA VITU VYA ABIRIA
 KWA MBALI NI KONDA ALIYETEGUKA KIUNO,NA MAMA ALIYEKATIKA MGUU
 POLISI WAKIWA ENEO LA TUKIO
 HILI NDO JILA COASTER HIYO ILIYOPATA AJALI

No comments:

Post a Comment