Friday, May 24, 2013

Mrembo atakayeiwakilisha Tanzania kwenye BBA “The Chase”

feza-kessy-rick-ross-vanessa-mdeefeza-kessyFeza-Kessy-4
feza-kessy-3


Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye  blog ya Zeddylicious, na mitandao mingine mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 (BBA “The Chase.” Well, hizi ni baadhi ya picha zake. Get familiar.

No comments:

Post a Comment