Tuesday, May 28, 2013

MSHINDI ALIYESHINDA MIC KING 2013 AIBUKA NA GARI TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA

Nay wa Mitego akiwachizisha mashabiki wa Dar Live.
Add caption
Farid Kubanda 'Fid Q' akionyesha ujuzi stejini.
Msanii Kala Jeremiah akiwarusha wapenzi wa burudani waliofurika Dar Live.


Mkali wa 'Dear God' akizidi kuwapa raha mashabiki.
Joh Makini akiwapa raha wana Dar Live.

Joh Makini akinata na beat ama kwa hakika huyu ndio mwamba kama anavyojiita
Stamina akipagawisha nyomi ndani ya Dar Live.


Stamina on the stage akifanya yake kuwarusha mashabikiNyomi iliyofurika ndani ya Dar Live.
DJ Choka (kushoto) akimpatia tuzo ya Wimbo Bora wa Hip Hop Mwanamuziki Kala Jeremiah.

Suma Mnazareti (kushoto) akimpatia tuzo ya Mwanamuziki Bora Chipukizi wa Hip Hop, Young Killer.

Prodyuza All Baucha akimkabidhi Kiboya tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hip Hop (Legendary) kwa niaba ya Joseph Haule 'Profesa Jay'.
Meneja wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akimkabidhi ufunguo wa gari mshindi wa The Vodacom Mic King 2013, Martin Fundi. Katikati ni Meneja Matukio wa Dar Live, Abdallah Mrisho.
Martin Fundi akifungia mlango wa gari lake huku mashabiki wakishuhudia

No comments:

Post a Comment