Friday, May 24, 2013

PICHA 7 ZA MCHUMBA NA MAMA KIJACHO WA NEY WA MITEGO, WOTE WAWILI WAKIWA BATAN

Bila shaka unafahamu kuwa Nay wa Mitego ni baba mtarajiwa. Mara nyingi Nay amekuwa akiweka picha ya mpenzi wake anayetarajia kumzalia mtoto hivi karibuni lakini hujawahi kuona picha yake inayoonekana vizuri zaidi. Tazama picha hizi za shemeji/wifi yetu zilizochukuliwa kwenye show ya Nay na Diamond, Dar Live weekend iliyopita.

_K7A7541

_K7A7544

_K7A7573
IMG_3081

IMG_3082
IMG_3085
IMG_3301
CHANZO : BONGO 5

No comments:

Post a Comment