Wednesday, May 22, 2013

RAY ASHUSHA VIFAA VIPYA CHINI YA RJ COMPANY


Katika kuhakikisha kwamba ubora wa filamu Nchini Tanzania unazidi kukua kampuni ya RJ Company imeshusha vifaa vingine vya kisasa ili kuzidi kuongeza ubora wa kazi katika kampuni yake ya RJ Company kama kawaida slogan yake inavyosema BEST QUALITY EVER kwa hiyo wadau wa tasnia hii mtegemee mazuri toka katika kampuni yao bora ya RJ Company..

Hapa ikianzwa kufunga Camera hiyo mpya na ya kisasa..

  Ray steve shoo na razack wakiwa makini katika swala zima la ufunguji wa Camera.

  Razack Ford akiwa makini katika kuifunga Camera hiyo...

Boom Mic ya kisasa kama mnavyoona wadau mambo yatakuwa sio mchezo..

Hapa mambo yakiwa yamekamilika wadau

Camera

No comments:

Post a Comment