Friday, May 31, 2013

TASWIRA YA MAANDALIZI YA MAZISHI YA MAREHEMU ALBERT MANGWEA HUKO MBEZI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM..

 

 
 
 
 
 

MAOMBOLEZO ya msiba wa aliyekuwa mwanamuziki wa kizazi kipya, marehemu Albert Mangwea, yameanza  nyumbanmi kwa baba yake mdogo, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambako jana jioni ndugu, jamaa na majirani walikutwa wakiwa katika matayarisho ya kuupokea mwili wa marehemu

No comments:

Post a Comment