Tuesday, May 21, 2013

WEMA SEPETU APATA SHAVU DARLING HAIR, SASA KUWA MSANII WA BONGO ANAYEINGIZA MKWANJA MREFU KULIKO WOTE..!

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata mchongo wenye pesa ndefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.

72b3721cc13c11e29bea22000a1f90d2_7
Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
1e5afc9ec13c11e2987d22000aaa0a97_7
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.

No comments:

Post a Comment