Sunday, June 02, 2013

ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSU MAREHEMU ALBERT MANGWEHA

Baada ya wasanii wengi kufunguka yakwao kuhusu msiba wa Albert mangwea Naye Diamond platnumz amefunguka yake kwenye mtandao wa instagram na kusema nikama haamini kabisa kwani yeye alikua na mipango kibao na marehemu
Diamondi mdamchache uliopita aliandika kwenye mtandao wa instagram maneno haya
          "kinacho niumiza ni jinsi tulijaribu kutengeneza HIT bila mafanikio yani sio nilizo mshirikisha hata zile alizo nishirikisha na tuka amua kuplan kutengeneza nyingine akirudi SOUTH AFRICA
        
lakini haikuwezekana yani mungu alimpenda zaidi
  
                             R.I.P ALBART MANGWEHA.................

No comments:

Post a Comment