Friday, June 07, 2013

Bollywood ACTRESS, "JIAH KHAN AJIUWA BAADA YA KUGUNDUA MCHUMBA WAKE ANA DEMU MWINGINE

Bollywood Actress, "Jiah Khan" aliyejiua sababu ya mapenzi
Muigizaji maurufu ambae ni mmoja kati ya wanadada warembo nchini India anaejulikana kama "Jiah Khan" amekutwa amekufa juzi kwa kujiua baada ya kujua Boyfriend wake ana mwanamke mwingine....
Mama yake na Khan amesema kua alirudi na kukuta mwili wa mtoto wake akiwa ameshakufa huku Police wakiwa bado wanachunguza chanzo cha kifo cha mrembo huyo ila baadhi ya majirani walizungumza na Mtandao wa BBC na kusema kua wanachujua mwanadada Khan alikua na mkwaruzano na BF wake.....

Jiah Khan amefariki wakiwa na Miaka 25 na alijipatia umaarufu mkubwa Inchin india baada ya kuigiza na mkongwe wa tasnia ya movie anaijulikana kama Amitah Bachchan na pia aliweza kuigiza na Aamir Khan na Akshay Kumar kwa wale mnaofatilia Bollywood Movies hakika mnawatambua hawa.
mwili wa Jiah Khan ulipelekwa Hospital kwa uchunguzi zaidi.....


Khan alizaliwa New York na akakulia London kabla ya kwenda Mumbai India na kujiingiza kwenye mambo ya sanaa ya uigizaji wa filamu...
Filamu yake ya Mwisho kuigiza inaitwa Housefull ambayo ilitoka mwaka 2010..

No comments:

Post a Comment