Sunday, June 23, 2013

BREAKING NEWS' JOYCE KIRIA OF WANAWAKE LIVE'AMTAFUTA MME WAKE HERNY KILEWO- HAJUI ALIKO

Joyce Kiria akiwa na Mme wake Henry ambae mpaka sasa anamtafuta hajui aliko" yani habari yake nimekutana nayo Facebook alafu sikuelewa nikaona nikama inahusika na Kipindi chake vile'But nilipoendelea kusoma ndo nikaanza kuogopa na kuguswa zaidi ndipo nikaona niwajulisheni nanyie ...Henry ni mmoja kati ya viongoz wa Chedema hapa Dar es salaam ....Ameshilikiliwa na polis kwa mahojiano ya kuhusu kumwagiwa Tindikali kwa mtu huko Igunga...

Joyce Kiria....Ameandika hivi katika ukurasa wake wa Facebook
"Nimempelekea Henry chakula cha jioni majira ya saa 11 jioni hii pale central police, nikaambiwa wameshamchukuwa! Nikauliza kaenda wapi askari wa mapokezi akaniambia hata yeye hajui! Nikacheki na wakili Kibatala akaniambia hata yeye hana taarifa kama wamemchukuwa! Wapi haki ya mtuhumiwa? Familia yake haipaswi kujua anaenda wapi? Hata wakili anafichwa? Am so confused...

Ee Mungu mpiganie Mume wangu Henry popote alipo. Usimwache ahuzunike hata kidogo bali umpe nguvu ktk kipindi hiki cha mpito. Amen

My sweetheart Henry be strong, hata kama sipo na wewe physical lkn nipo pamoja na wewe mpz wangu. Mungu ni mwaminifu atatushindia.. Lv you big time mwaaaaa

Njiwa peleka salam
" Joyce Kiria

No comments:

Post a Comment